pole mdau kwa kuumwa mbavu juu ya kicheko ila kwa taarifa tu HII NDO PICHA PICHA MOJA YA MFUNIKO YANI km ni nguo basi kavinja kabati tehe tehe tehe tehe kukuza jina kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli
Freedom of speech, hii freedom of speech imeanzia kwangu ahahaa husilolijua ni km usiku wa Giza visit me on www.ngaizaskids.blogspot.com ntawakomesha nyoote mnaojifanya kunijua. Nina picha since I was 3years. Vitenge sijaacha na sintoacha and reasson nimevaa hivi its because my husband likes na nyoote mnaojifanya kunijua mlinijua nishanenepa so kuteseka na nguo tight wakati minyama imenitoka ndo nini??so go ahead na mseme whatever mtakavyo Na July kaiweka hii picha makusudi coz katika Facebook yangu kaziruka nyingi ambazo zina mwanga mengine mseme wenyewe Mimi ni jasiri so wala siogopi kusemwa na kwataarifa yenu sijauza sura wala sujamtumia July picha hii awawekeee. U gt me right?
Freedom speech imeanzia kwangu, nyingine hata paku-comment hamwekewi nimeona mlivyogala kwenda kucoment picha ya pili.
At mbuyu ulianza kama mchicha well done momy d .kardishian mwenyew ukionyeshwa swagg zake za zamali ni utashanga ila sasa ndio fashionista wa ukweli go go mam d
kwenda huko na ngaiza yako kila blog upo kama inzi kaona embe.....mara kwa sinta etimrembo wa wiki haya na sinta nae alitoa fb maana umejitetea humu...hovyoooo kwenda ushomile wewe baaaadoooo hakujakucha.fyuuuuuu
Du mama dori kweli unakosesha watu usingizi mneno yanawatoka kama israel kafata roho mboni mambooo mie nakupa biggg up umependeza mboni wao hawatoi picha zao tuwaone na minyama nyama yao upo juuu mama kama mawingu
We July umenistua kidogo nizimie nilipofungua blog. Asante kwa kuona nywele fupi zinanipendeza Nta-dili nazo mpaka kieleweke.
ReplyDeleteEmbu toa uchafu huo tuna sikia kichefuchefu sai.
ReplyDeletekuna viumbe mmeubwa na chuki,wivu,na ujinga hukuitwa humu chuki zako ndio zilizokuleta utaki funga macho usiione lione bayaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteumependeza unajua wenye uso wa duara nadhani mnapendeza nywele fupi kimtazamo tu .afadhali umekubali utaziendeleza tetete .salimia familia mama loshi
ReplyDeleteyaani umeamua kutustua leo,mbavu zinauma mieeeee uwiiiiii si ungechagua picha nzuri ndio uweke nini hichooooo....siku hizi havai vitenge.
ReplyDeletepole mdau kwa kuumwa mbavu juu ya kicheko ila kwa taarifa tu HII NDO PICHA PICHA MOJA YA MFUNIKO YANI km ni nguo basi kavinja kabati tehe tehe tehe tehe kukuza jina kaaaaaaaaaaaazi kweli kweli
ReplyDeletemama losh mi sina uso duara afu napenda sn nywele fupi basi nakomaaje nazo?????? yani sitaki kujua kiubishi ubishi ivo ivo
ReplyDeletetehe tehe tehe wapenda picha pozi mmeliona ilo??????????? eeeh mguu juu mkono kiunoni vitenge vitenge tupa kule zis is 2012
ReplyDeletependeza muke ya muzungu acha na wenye stress za maisha hao,watakukomaje.
ReplyDeleteFreedom of speech, hii freedom of speech imeanzia kwangu ahahaa husilolijua ni km usiku wa Giza visit me on www.ngaizaskids.blogspot.com ntawakomesha nyoote mnaojifanya kunijua. Nina picha since I was 3years. Vitenge sijaacha na sintoacha and reasson nimevaa hivi its because my husband likes na nyoote mnaojifanya kunijua mlinijua nishanenepa so kuteseka na nguo tight wakati minyama imenitoka ndo nini??so go ahead na mseme whatever mtakavyo Na July kaiweka hii picha makusudi coz katika Facebook yangu kaziruka nyingi ambazo zina mwanga mengine mseme wenyewe Mimi ni jasiri so wala siogopi kusemwa na kwataarifa yenu sijauza sura wala sujamtumia July picha hii awawekeee. U gt me right?
ReplyDeleteFreedom speech imeanzia kwangu, nyingine hata paku-comment hamwekewi nimeona mlivyogala kwenda kucoment picha ya pili.
wape wape...mama D.
ReplyDeleteAt mbuyu ulianza kama mchicha well done momy d .kardishian mwenyew ukionyeshwa swagg zake za zamali ni utashanga ila sasa ndio fashionista wa ukweli go go mam d
ReplyDeletekwenda huko na ngaiza yako kila blog upo kama inzi kaona embe.....mara kwa sinta etimrembo wa wiki haya na sinta nae alitoa fb maana umejitetea humu...hovyoooo kwenda ushomile wewe baaaadoooo hakujakucha.fyuuuuuu
ReplyDeleteDu mama dori kweli unakosesha watu usingizi mneno yanawatoka kama israel kafata roho mboni mambooo mie nakupa biggg up umependeza mboni wao hawatoi picha zao tuwaone na minyama nyama yao upo juuu mama kama mawingu
ReplyDelete