Feb 13, 2012

MBONIE MASIMBA AJA NA THE MBONI SHOW

Mwanadada Mboni Masimba ameanziasha show yake inayoitwa'The Mboni show'.itakayokuwa inaonyeshwa EATV stay tuned kwa infor zaidi kitakuwa kinazungumzia nini?
                    Hope kitakuwa kizuri kuzidi vingene mana wengine hawana mpangilio
wa maswali kwa wanao waoji, hawajiandai vizuri unakuta wanatoka nje ya topic na maongezi yanakuwa kama  wapo kijiweni na kusahau kama watu watakitizama.
Ukitaka mfatilia mboni mlike facebook @the mboni show au mpitie www.thembonishow.com.

7 comments:

  1. SALAMA JABIRI ,MUBA ,MKONGO AKA MIRASTA NI KHERI KUKUCHE ILA HAKUNA KITUUU

    ReplyDelete
  2. Hahaha hao wote hakuna kitu kheri zamaradi na sporah show japo.hawawezi changamsha kipindi

    ReplyDelete
  3. Salama anakiweza mkasi vizuri yule sharobaro muba na huyo marasta ndio wanaaribu kipindi

    ReplyDelete
  4. Wangetoka wote.wamwachie.salama hahah sharobaro muba ukimwona ngoma swagger ngoja aongeee mzaramo live hakuna haja ya.kumuliza kabila hahah mtazamo tu

    ReplyDelete
  5. We mi naona ya Salama angalau, yaani ya Salama imetilia mno anajitahidi kufata sheria za show asilia zaidi ya 90 anazo. Utumbo ni Joyce jina kuubwa ila show ni km watu wanataka kucheza kibao kata. Turudi shule.

    ReplyDelete
  6. toka huko.usidharau kazi ya mwenzio yako iko wp,mdau juu.

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH