Feb 24, 2012

IT'S FRIDAY AGAIN!-HAVE A NICE WEEK - END GUYS

I miss days like this ,friday @java lounge then Mafia nggggg missing Bongo
MUWE NA W'END NJEMA YA KWA REZMA.

22 comments:

  1. yaani u rock,namuona chemeji odiero anaosha na cusin wakeee,amekumisijeeeeeeee.u look hot wth viatuz na one shoulder.

    ReplyDelete
  2. asante mommy claire the viatuz hizi nazipenda mno siunakumbuka nilivyokuwa nadata nazo haha .hotter than fire salimia familia

    ReplyDelete
  3. mama b huyo ni nani?usiniambie umeanza na wewe na biserengeti kama mamaflan lol

    ReplyDelete
  4. teteh mbavu zangu no huyo kuzin wangu serengeti inatokana na kuolewa n mtu mzee sasa ndio mana anatafuta serenget mie hubby wangu si unamwong yupo young. age zinaendana

    ReplyDelete
  5. mbona ujatuandikia swagga zako za leo zinapatikana wapi?unanikosha sana jully nikiwa tmjini window shopping mpaka raha.

    ReplyDelete
  6. hahahhahahha mbona mambo kazi ipo mlipendeza sana lazaro kaona hiyo picha ndo nimesimuliwa hahahha kazi ipo imetulia.mji mdogo gtb mamalaz mamaloshi

    ReplyDelete
  7. Kwa kuvaliana tu mmmmnh

    ReplyDelete
  8. hebu 2pe swaga zilikotoka roho zisuuzike lol.cant wait 2 c u there next month.

    ReplyDelete
  9. guu la bia mama Buyando, unatoka leo? mmpende.

    ReplyDelete
  10. Jamani hamna mjuk nini uje kuazima kwangu maana hii nguo tumeichoka kila outing unaivaa mhh

    ReplyDelete
  11. pole yako wew mama wili huko gotebory mimi sina mda na wew tukana ukichoka utaacha koz am not ur type na kamwe sibishani na mjinga go ahead haina haja yakuficha jina na unaoneka mwoga

    ReplyDelete
  12. poleni mnao umiza vichwa kwa kudhani tunaazima we du luv each other kiasi cha kwamba siwezi nunua nguo bila mnunulia my lovely sister nancy au yey kununua.gues.wat those beautiful shoes we.bought at the same time.yake rang ni lemon yangu pin at the same time na.gown yake.no blue poor u .u.aint luv each other for real just talking blabla
    WIVU.COM search matibabu zaidi

    ReplyDelete
  13. yap mamalosh anakumbuka hii siku.wakati.tunatoka ndio.mana anaizungumzia nimewamiss mbaya next.w nipo off 3days natamani.kuja huko

    ReplyDelete
  14. ngaiza mpenzi w-end hii yote natumika lol mama party unaenda wapi leo kama nakuona nimekumissije

    ReplyDelete
  15. mmmmh haya nimekoma umbea mana ulivyonishushu.sina.hamu hapo linajisuta nafsi lione.bayaaaaa bitchhh twachie mama b wetu
    anasambaratisha vibaya

    ReplyDelete
  16. rahaaa kweli kweli.unakerwa na hili gauni basi ujue unalitamani pakulipata ujui naivo ajaandika kanunuwapi pole binti geuza njia ulipotoka huku hapakufai

    ReplyDelete
  17. mamaloshi zungu la roho.Sat Feb 25, 09:03:00 PM 2012

    mamaloshi zungu laroho.@watu hawalali hawajiamini namaisha yao kama wanajiamini wangekuwawanasema live mpka wapitie blog.hatutikisiki wala hatutobadilika kazi moja mwanzo mwisho kama tulinunua dukani hata nyie wenye roho za korosho mkanunue .dukani ndo kwanza jalux tunasonga mbele .wivu haujengi walewale hamjui mlichokifata uku kwenye baridi mkishajua mtakuwa hamtukani ovyo humu mshindwe namlegee.ndo kwanza yanatunyokeaa..mnaumia sana na bado .endeleni kuhesabu idadi mwaka umeanza mngoje jipya mamaloshi mamawakujiamini .sina kinyongo na malimbukeni wa maisha .pwaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  18. MDAU SINZA..WABONGO HATUPENDANI HONGERA ZENU MAGUGAS FAMILY MLIPOTOKA MPAKA MLIPO MUNGU AWABARIKI SANA NAKUMBUKA NACY NDOTO ZAKE KAZIFANIKISHA TANGU SKONGA.NIMEFURAI KUJUA BLOG YENU .WASWAHILI HAWAKWEPEKI WAMEJAA KILA SEHEMU.HAWAPENDI MAENDELEO YENU .MUNGU KAPANGA WATAONGEA MCHANA ASUBUI WATALALA.MWAMBIE NANCY MIMI WARDA WA GEREZANI ANITAFUTE ANIPE MCHONGO KHALIMBYA TZ.ATANIJUA.MBARIKIWE

    ReplyDelete
  19. BWANA ACHANENI NA HAO WAKULIMA HAWANA MBELE WALA NYUMA YANI BADO KIZA KWENYE ANGA HIZI WANAZA MABEEF WAKATI WATU TUNAPLAN YA MAISHA TUTOKEJE TUPAKULE YANI NYIE KAMA BATA VILE HATOACHA HARISHA ATA ALISHWE KOKOTO SO MANENO YAO NI SAWA NA BREEEEEEEEEEE KABISA KWA LEO TUNAISHIA HAPA NEXT PLSS

    NB WANAKUJUA NA WANAKUKUBALI PAMOJA NA MAJUNGU YAO BONGO TUNAKUKUBALI NA SWEDEN UPO JUU NYOTA YAKO IPO JUU KAMA ANGA MAMA UCHUJI WALA KUFULIA WE NOMA

    ReplyDelete
  20. mama brandon update vitu wasikukere wa2 kawaida kusema midomo mali yao hailipiwi vat,weka weka picha,odiero anaosha kwa blog hapo hahaha haaaaa,ntamtext ajione.now blog imeamka sasaaaa.

    ReplyDelete
  21. hahaha huyu mpiga ramli wa mbagala anawivu mkali.mwishowe.utapasua computer haya mjanja wew uliejitafutia visa.na watu wanakupenda wewe jiji hili ndio mana haukiwsh kashfa na wew mambo super sasa umeridhik mjanja wa mbagala .yani wewe unamchinja kuku barini kwa dhumuni la kubadili.maji rang.utakesha hapa umesalute.mpaka tumekulet hiki kiwanja we bado mshamb sanaa

    ReplyDelete
  22. bailezee bailezee huyo leo kaingia choo cha kiume anatafuta umaruku kwa pupa kwanza hama mbagala alafu ndio ufikirie kutafuta jina ushasikia watu maarufu wanakaa charambe weweeweew

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH