I HAD MY FRORAL PRINTS LAST SUMMER ,IT'S BACK AGAIN IN THIS SPRING 2012 ,AM STILL ROCKING IT FROM MY WARDROPE ,BLOUSE FROM BIK BOK N WHITE SKINNY LEGGING FROM KAPPAHL MY MEN'S SHOES LOAFERS FROM SCORRET ACCESSORIES H&M N ÅHLENS MAKE UP MARY KEY XOXO
wewe dada ukija dar niletee hiyo nguo na umeondoka hujaniaga jamani,mie nakusubiria cjui mwisho wa mwaka tena au laaa,nimefurahi kuona blog yako ntakuwa naingiamara kwa mara mpnz.joyce mwenye jiko la kitimoto coco beach.
ha ha ha ha ha ni kweli shoga ukiwa huna unakuwa na fujo haifai ila ndo ivo kiubishiubishi kupitwa hatutaki basi weeeeeee ingekuwa ngozi basi ungepaka mkorogo, mwili utapungua au kuongezeka mguu nao?????? kudadadeki acha tu pawe hapatoshi mana km ndo unakigimbi hata ufanye dieat hakitoki
lol asante joyce samahani mwaya nilibanwa mno ila asante kwa uduma nzuri ya kiti moto nimerudi nimenona huyo poa nitakuletea mwezi wa sita nipe no yako tuongee zaidi
nimpende nani?sasahiii umefanana na doro kwishakazi .balaaaa.pendeza my pacha .
ReplyDeletejamani juliumependeza hongera unene wte umeisha .au?ndo kazi pole ila umependeza wasalimie ndugu zako .
ReplyDeletewewe dada mrembo sana,umependeza mnoooo.
ReplyDeleteumetoka kisanvu mke ya murundi kama kawaida yako. saafi
ReplyDeleteumenoga sasa mama brandon.
ReplyDeleteAsante warda yap ule unenemwili wa utoto ,ulaya unene si deal kupata nguo nitabusana ya big size
ReplyDeleteasante muke ya baba mbila mbila
ReplyDeleteASante willie uzuri huu ndio unaomvutia murundi bana
ReplyDeletehahhaha ngaiza hapana chezea muke ya murundi ni hotter than fire si unamwenyewe mashallah
ReplyDeletesexy mama me luv that makeup see u soon kram
ReplyDeleteyani nimekuzooom sasa nimekuon jicho na uzuri wa asili mbona natamani namie niwe mjaluo wajamennnn
ReplyDeletePIGA UA GALAGAZA TUPA COCO BEACH ILIWE NA MAMBA, IPANDE ISHUKE MAMA MGUU UMEPEWA NA SIJUI KWANINI UNAUCHUKULIA POA MANA HUUONYESHAGI MARA KWA MARA
ReplyDeletehahah asante my dear,si unajua kibaya chajiuza kizuri cha jitembeza mie naiona kawaida mana ninayo tatizo ukiwa huna fujo zake sasa
ReplyDeletewewe dada ukija dar niletee hiyo nguo na umeondoka hujaniaga jamani,mie nakusubiria cjui mwisho wa mwaka tena au laaa,nimefurahi kuona blog yako ntakuwa naingiamara kwa mara mpnz.joyce mwenye jiko la kitimoto coco beach.
ReplyDeleteha ha ha ha ha ni kweli shoga ukiwa huna unakuwa na fujo haifai ila ndo ivo kiubishiubishi kupitwa hatutaki basi weeeeeee ingekuwa ngozi basi ungepaka mkorogo, mwili utapungua au kuongezeka mguu nao?????? kudadadeki acha tu pawe hapatoshi mana km ndo unakigimbi hata ufanye dieat hakitoki
ReplyDeletelol asante joyce samahani mwaya nilibanwa mno ila asante kwa uduma nzuri ya kiti moto nimerudi nimenona huyo poa nitakuletea mwezi wa sita nipe no yako tuongee zaidi
ReplyDeletenyeupe imenoga sanaaa,hongera kwa kumaintain mwili.
ReplyDeleteasante.my dear
ReplyDelete