Feb 27, 2012

GET A LOOK SPRING NEW COLLECTION -FRORAL PRINT

I HAD MY FRORAL PRINTS LAST SUMMER ,IT'S  BACK  AGAIN IN THIS SPRING 2012 ,AM STILL ROCKING IT FROM MY WARDROPE ,BLOUSE FROM BIK BOK N WHITE SKINNY LEGGING FROM  KAPPAHL
MY MEN'S  SHOES LOAFERS FROM SCORRET ACCESSORIES H&M N ÅHLENS
MAKE UP MARY KEY
XOXO

18 comments:

  1. nimpende nani?sasahiii umefanana na doro kwishakazi .balaaaa.pendeza my pacha .

    ReplyDelete
  2. jamani juliumependeza hongera unene wte umeisha .au?ndo kazi pole ila umependeza wasalimie ndugu zako .

    ReplyDelete
  3. wewe dada mrembo sana,umependeza mnoooo.

    ReplyDelete
  4. umetoka kisanvu mke ya murundi kama kawaida yako. saafi

    ReplyDelete
  5. umenoga sasa mama brandon.

    ReplyDelete
  6. Asante warda yap ule unenemwili wa utoto ,ulaya unene si deal kupata nguo nitabusana ya big size

    ReplyDelete
  7. asante muke ya baba mbila mbila

    ReplyDelete
  8. ASante willie uzuri huu ndio unaomvutia murundi bana

    ReplyDelete
  9. hahhaha ngaiza hapana chezea muke ya murundi ni hotter than fire si unamwenyewe mashallah

    ReplyDelete
  10. sexy mama me luv that makeup see u soon kram

    ReplyDelete
  11. yani nimekuzooom sasa nimekuon jicho na uzuri wa asili mbona natamani namie niwe mjaluo wajamennnn

    ReplyDelete
  12. PIGA UA GALAGAZA TUPA COCO BEACH ILIWE NA MAMBA, IPANDE ISHUKE MAMA MGUU UMEPEWA NA SIJUI KWANINI UNAUCHUKULIA POA MANA HUUONYESHAGI MARA KWA MARA

    ReplyDelete
  13. hahah asante my dear,si unajua kibaya chajiuza kizuri cha jitembeza mie naiona kawaida mana ninayo tatizo ukiwa huna fujo zake sasa

    ReplyDelete
  14. joyce white coco beachWed Feb 29, 10:22:00 AM 2012

    wewe dada ukija dar niletee hiyo nguo na umeondoka hujaniaga jamani,mie nakusubiria cjui mwisho wa mwaka tena au laaa,nimefurahi kuona blog yako ntakuwa naingiamara kwa mara mpnz.joyce mwenye jiko la kitimoto coco beach.

    ReplyDelete
  15. ha ha ha ha ha ni kweli shoga ukiwa huna unakuwa na fujo haifai ila ndo ivo kiubishiubishi kupitwa hatutaki basi weeeeeee ingekuwa ngozi basi ungepaka mkorogo, mwili utapungua au kuongezeka mguu nao?????? kudadadeki acha tu pawe hapatoshi mana km ndo unakigimbi hata ufanye dieat hakitoki

    ReplyDelete
  16. lol asante joyce samahani mwaya nilibanwa mno ila asante kwa uduma nzuri ya kiti moto nimerudi nimenona huyo poa nitakuletea mwezi wa sita nipe no yako tuongee zaidi

    ReplyDelete
  17. nyeupe imenoga sanaaa,hongera kwa kumaintain mwili.

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH