Feb 26, 2012

FRESHHH MONDAY

Hellow welcome back it's fresh monday,i hope mlihave fun w-end.I had  a busy w-end too much work n tired i couldnt get time to enjoy my w-end .poleni kwa wale mliokwazika  na huyu mwanamke anatukana watu na kujipa majina ya watu ,na kugombanisha watu so watch out ukiona kakutusi
kwenye Clara au Ngaiza blog ukajua flan ndio kakatusi ni no.anatumia majina ya watu kujifurahisha nafsi yake kutukana watu.But u aint play with me gal hunajipya utalonipa likanishtua yote ni marudio.


OOps my lips siitaji Surgey WALA wanja mweusi mafuta ya mgando tu 
kwisha kazi lol  unatamani ungekuwa nao mwisho wa siku unaishia kuutukana.

Moi n My little gal Devota ,my sis's daughter
mama unajua gharama ya kuchonga lips wewew acha pressure ikupande!
love n peace
msipoteze muda wenu kuandika habari za watu humu kama mmeshindwa kusutana
kwenye mapress conference yenu huko basi mituharibie starehe.
BY UTAWALA
MUKE YA MURUNDI

11 comments:

  1. Ee ka julikana achomwe moto uyooo

    ReplyDelete
  2. Maisha magumu jmn kila mtu anadata kivyake au halitokeaga milembe ndio hakaja huku

    ReplyDelete
  3. Tobaaa napita nitarud midaz

    ReplyDelete
  4. Hapa kwetu mbagala nyuma mbele jalala bac na domo lako Pia ni jalala

    ReplyDelete
  5. Blog zimefunguliwa kufuraisha watu na sio kugombanisha km unaona upatani na mwenye blog hina aja hutembelee humu unatamba kimya kimyaaaaaa

    ReplyDelete
  6. Msada tutani jmn konda au cjuw dereva wa blog msaada tutani nimjue na Mimi uyo mtu km yupo kwenye list friends wangu fb ni block

    ReplyDelete
  7. Mmh namfukuza na kwangu

    ReplyDelete
  8. aramba aramba hamu hamu kumekucha leo kapatikana atajweee huyo asulubiwe mambo ya manzese asilete humu

    ReplyDelete
  9. kwa mwendo huu wacha yulepiga matunguli ma ramli nafsi impasuke hahaha jina mupya.muke ya murundi unambo wewe

    ReplyDelete
  10. hizo lips i cant get enought walah kitu angelina jolie

    ReplyDelete
  11. picha ya kwanza ulipendeza mno ulikuwa waenda wapi?shost kumbe wajua kudrive eeeh hongera

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH