kwenye Clara au Ngaiza blog ukajua flan ndio kakatusi ni no.anatumia majina ya watu kujifurahisha nafsi yake kutukana watu.But u aint play with me gal hunajipya utalonipa likanishtua yote ni marudio.
OOps my lips siitaji Surgey WALA wanja mweusi mafuta ya mgando tu
kwisha kazi lol unatamani ungekuwa nao mwisho wa siku unaishia kuutukana.

Moi n My little gal Devota ,my sis's daughter
mama unajua gharama ya kuchonga lips wewew acha pressure ikupande!
love n peace
msipoteze muda wenu kuandika habari za watu humu kama mmeshindwa kusutana
kwenye mapress conference yenu huko basi mituharibie starehe.
BY UTAWALA
MUKE YA MURUNDI
Ee ka julikana achomwe moto uyooo
ReplyDeleteMaisha magumu jmn kila mtu anadata kivyake au halitokeaga milembe ndio hakaja huku
ReplyDeleteTobaaa napita nitarud midaz
ReplyDeleteHapa kwetu mbagala nyuma mbele jalala bac na domo lako Pia ni jalala
ReplyDeleteBlog zimefunguliwa kufuraisha watu na sio kugombanisha km unaona upatani na mwenye blog hina aja hutembelee humu unatamba kimya kimyaaaaaa
ReplyDeleteMsada tutani jmn konda au cjuw dereva wa blog msaada tutani nimjue na Mimi uyo mtu km yupo kwenye list friends wangu fb ni block
ReplyDeleteMmh namfukuza na kwangu
ReplyDeletearamba aramba hamu hamu kumekucha leo kapatikana atajweee huyo asulubiwe mambo ya manzese asilete humu
ReplyDeletekwa mwendo huu wacha yulepiga matunguli ma ramli nafsi impasuke hahaha jina mupya.muke ya murundi unambo wewe
ReplyDeletehizo lips i cant get enought walah kitu angelina jolie
ReplyDeletepicha ya kwanza ulipendeza mno ulikuwa waenda wapi?shost kumbe wajua kudrive eeeh hongera
ReplyDelete