Jan 6, 2012

NANCY MTUNGA HOME BIRTHDAY PARTY

My gal nancy alikuwa na birthday  week hii jumanne alitimiza miaka kadhaa.
tulikuwa nae na kumpongeza.

birthday gal nancy


cake


alain akijisavia

dolls

dady akilishwa keki

shemeji yake

yap alimlisha shost wake
happy pipo

gojas family


lol sikutaka miss matukio VIATU TUPA KULE


my lovely dada alikuwa anaumwa mafua ila aliahudhuria kwa mda mchache akasepa

hahaha
ciao

9 comments:

  1. mmh kwa raha zenu wadada,wasiopenda wawazoee

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. mlipendeza simple simple wenyewe

    ReplyDelete
  4. ilikuwa bomba mlipendeza kwa kweli.matukio mengi mnawatenga watt jamani wish mtaweka na za watt sooon mwaaaaah.

    ReplyDelete
  5. julie hahahaaaa.gauni jamaniii ni noumeraa naona umeamua kuivaa sasa roho yangu imesuuzika bado 1 naingojaaaa c unajua my baby nilikununukia dhawadi hiyo ucngeivaaa ungeniudhi wewe pendeza mbayaaaaaaa...

    ReplyDelete
  6. nimeipenda hiyo sehemu ya vinywaji ,na mlipendeza inshort

    ReplyDelete
  7. nimeipenda hiyo sehemu ya vinywaji ,na mlipendeza inshort

    ReplyDelete
  8. hahaha watu bwana,wanajua kunafikia!!he mbona CL umezivua?au huyo anaedai kakununulia hakuzinunua???hivi kama umemnunulia hadi useme humu??jamani!!!

    ReplyDelete
  9. Hongera mPendwa Nancy.
    Cymah

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH