My gal nancy alikuwa na birthday week hii jumanne alitimiza miaka kadhaa.
tulikuwa nae na kumpongeza.
birthday gal nancy
cake
alain akijisavia
dolls
dady akilishwa keki
shemeji yake
yap alimlisha shost wake
happy pipo
gojas family
lol sikutaka miss matukio VIATU TUPA KULE
my lovely dada alikuwa anaumwa mafua ila aliahudhuria kwa mda mchache akasepa
hahaha
ciao
mmh kwa raha zenu wadada,wasiopenda wawazoee
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletemlipendeza simple simple wenyewe
ReplyDeleteilikuwa bomba mlipendeza kwa kweli.matukio mengi mnawatenga watt jamani wish mtaweka na za watt sooon mwaaaaah.
ReplyDeletejulie hahahaaaa.gauni jamaniii ni noumeraa naona umeamua kuivaa sasa roho yangu imesuuzika bado 1 naingojaaaa c unajua my baby nilikununukia dhawadi hiyo ucngeivaaa ungeniudhi wewe pendeza mbayaaaaaaa...
ReplyDeletenimeipenda hiyo sehemu ya vinywaji ,na mlipendeza inshort
ReplyDeletenimeipenda hiyo sehemu ya vinywaji ,na mlipendeza inshort
ReplyDeletehahaha watu bwana,wanajua kunafikia!!he mbona CL umezivua?au huyo anaedai kakununulia hakuzinunua???hivi kama umemnunulia hadi useme humu??jamani!!!
ReplyDeleteHongera mPendwa Nancy.
ReplyDeleteCymah