Jan 31, 2012

IMB WAS CRAZIEST NIGHT EVER WATCH -RIO PAUL

Guys niliwahaidi ningewawekea picha za IBM Dar ,ila yaniotokea nahitaji pole picha zote zilifutwa na Laptop yangu ndogo ikavunjwa yote haya yalifanywa na baby Brandon  mana nilihamishia picha Zote kwenye laptop any way nilikuwa na video nilishoot siku ya IBM
 kwa wale mnao mjua  Rio paul aliamua kucheza kama stripper
ilikuwa fun sana watu weew watch a video ingawa sio gud quality

7 comments:

  1. hahha yani mnakaa nakumshangilia huyo shoga kweli dunia tambala bovu

    ReplyDelete
  2. mamaloshi huyo au macho yangu mswada pls

    ReplyDelete
  3. mbona hamonekani weka mwanga jmn

    ReplyDelete
  4. yap that's wats up ndio mana nakupenda mama b angalau nimepata mwonekana wa IBM ilivyokuwa

    ReplyDelete
  5. hhahhahaha kucheka na kulia vyote ni furaha huyo kaka anajionea sawa tu ndo maisha yake so uwezi kubadilisha mtu matendo yake kila mtu ataubeba msalaba wake kwa raha zake .tulifuraia sana tu.mama loshi

    ReplyDelete
  6. Raha ujipe mama nilichelewa wapi kutoiona hii?? Safi sana.
    Mama D

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH