Dec 12, 2011

I'M GOING ON HOLIDAY SOON

Yap guys l'm going to start my holiday this week on thursday my long holiday!baada ya kufanya kazi 19month non stop,sasa nimeamua kupumzika and guess wat naenda kula x-mass na familia yangu Africa.l'm very excited to meet my family OMG.
                                                   
                     moi at my working place lol those days back i used to have belly!
so mkiwa mnaingia humu mnaona kimya msije mkapanic mjue nipo holiday ila nitakuwa na wapa mpya mpya za bongo nikipata mda coz i got a lot to do down there!
i have nothing in my mind more than Africa

nasmile ila moyoni nahisi upweke flan mana kuna watu nitawamiss sana my sweetie gal jackie.
my beautiful family in norrtälje,mama ya sean claire,mtoto wa nyakisinda lilian,miamor n agatha.
xoxo
                                                                                          
                                                                             

22 comments:

  1. mbona yule dada yako hayupo inamna hutamiss

    ReplyDelete
  2. yule anaenda nae hawaachani hawa,aliowatajaaa kwi kwiii ndo mmisoooo upo hapooo,yaani na sie jamani mama bulandoni aenda wp wewe,yaaani MUNGU ni mwema next year hapatoooshiiii uzima kwanza.safari njeema matukio muhimuu kuliko kula.

    ReplyDelete
  3. izo nywele jamani mh

    ReplyDelete
  4. NYWELE ZANGU NZURI HUNA LOLOTE UMEKOSA LAKUKOSOA KAKOJOE UKALALE

    ReplyDelete
  5. DADA YANGU ANAENDA SIWEZI MWACHA NYUMA @Mdau norway

    ReplyDelete
  6. we thought yo going to Bahamas...kumbe Tanzania uwiiiiiii umefulia live.

    ReplyDelete
  7. Hahaha.kafulia na kafanya kazi miezi 19 niambie fuba lake manina mtajibebaje next plsss

    ReplyDelete
  8. Bahamas my sasa huko akasherekee na nani mtumwa wewe usitaka mwenu na uache ushamba chrismass unatakiwa usherekee na family wew kesha tupo navikopo bia bongo utaisikia tu watu wanaenda bwabwabwa jipange upya

    ReplyDelete
  9. Mmmh yani siku ukiweka tu picha yako basi humu kunakuchaa hahaha siuwe unatuwekea picha zako kila siku

    ReplyDelete
  10. Kazi gani wakati ana nyonyesha tindi limeshuka live.hana jipya kabisaa.

    ReplyDelete
  11. Hazina mvuto kabisa ndo maana watu wana comment.

    ReplyDelete
  12. midomo mali yenu hamlipii VAT.mkimaliza mtanyamaza nenda mama ucwajali dunia duara hawana jipya maisha mafupi.

    ReplyDelete
  13. wanadamu jamanii,kakosa nini sasa mnamnanga nyie mmejionaaa,kweli wakakojoe wakalaleee matukio weeeka tangu air port.

    ReplyDelete
  14. we nenda bahamas nyoko usi2letee kisukari kwa blog hapa miji2 mingineee.weeka picha nyiiingiiine waseeemeee nyyooo zao.

    ReplyDelete
  15. mvuto ni sura na anayo yenu ya mikorogoojeee.paka wa baa wengine bwana fyuuuuuuu....

    ReplyDelete
  16. anamnyonyesha babu yenu,hujui kunyonyesha ni sifa zaaa wako,nyaaaauuuu wewew

    ReplyDelete
  17. mkataa kwao m2mwaaaaaaa.ozea hapa utaisoma kimya kimyaaaaaaa.ileeee inapitaaa

    ReplyDelete
  18. safi mdau,umewapa vya kuwatosha maana binadamu wengine wana stress zao sasa hapa ndo wanazipunguzia sasa nawaambia hiviii... wanaenda kula bataaa kwa raha zaooooo na watoto wao.na nyie fungueni yenu muwe mnaandika muone nani atatembelea,ye ana kipaji kublog si mchezo jamani big up mama brandon.tunakupenda ur natural beauty

    ReplyDelete
  19. una tatizo na m2 kwanini usimface mkapeana kavu?????? huna cha kukoment kwanini usikae kimya???? yani chuki za kijinga jinga tu na wewe mwenye blog kwanini unawajibu??????? Maneno ni yale yale watu ni wale wale na unawajua kwanini unawajibu??????

    ReplyDelete
  20. mbona hakuna cha kutisha ni maisha yale yale ya pangu pakavu?..........!!!! ha!!!

    ReplyDelete
  21. safari njema africa kutamusalimaiwooteee.

    ReplyDelete
  22. MAMALOSHI .MI NADHANI BORA HAWAJIBU MNA WATAJUA MSG ZIMEFIKA KWANI TUMESHAZOEA HAPA DUNIANI UFANYI JAMBO ZURI AU BAYA WATU WAKALIPENDA PIA LAZIMA TUWE WAWAZI WEKA TU MDOGO WANGU WATAANDIKA WATACHOKA HUFI WALA UPUNGUI KWA COMMENT ZA WATU NDO KWANZA .YANAKUENDEA@UZURI WAKE NA MWISHO WAKE UNAONEKANA .KARIBUNINI SANA .ASNTENI KUTUTAKIA SAFARI NJEMA HAHAHHAHAH

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH