BISHANGA, DOKII,DINA ,ZAMA.GEA HABIBU SHOST HUYU ANANIGUSA SANA KATIKA HEKA HEKA!
CLOUDS FM
RADIO BORA KULIKO ZOTE TANZANIA RADIO YA VIJANA KWA UJUMLA LEO
IMERUSHWA LIVE KUPITIA CLOUDS TV.
MAAKULI HAYAKUKOSA KATA KEKI TULE.
NIKIWA HOME LAZIMA NISIKIZE CLOUDS HASWA
1:HEKA HEKA,
CARIBEAN BEATS,
LEO TENA,
ALAZA ROHO,
JAAZI
NA KIPINDI CHA GEA HABIBU KILA JUMAPILI INGAWA NAKIMISS MARA NYINGI,APO NAHISI NIPO HOME BILA KUBOEKA I LUV CLOUDS FM
ni clouds na si cloud`s there is no apostroph kwenye s
ReplyDeleteasante mpendwa
ReplyDeletePAMOJA
ReplyDeletekwenye blog ulizoengeza hapo kuna moja umekosea inatakiwa kuwa naxylady (africa4life) instead of nancylady and that is why haifunguki,
ReplyDeletembona inawenda my dear huenda kwako kunatatizo jaribu tena
ReplyDeleteMwee hizo pamba za dokii maharage na.njegere full mchanganyo
ReplyDelete