Nov 5, 2011


NIMEPENDA FASHION STYLE YA PATIENCE ,MAKE UP YAKE,ACCESSORIES NA NYWELE KILA KITU ON POINT ZIPO SIMPLE ZINAWEZA MVUTIA MWANADADA YOYOTE HASWA HILO GAUNI LA NJANO !


KUSHOW OFF UR SWAGG...SI DHAMBI TUTUMIE NAWE ZAKO TUJIFUNZE TOKA KWAKO:
                                                                  

3 comments:

  1. Anza wewe kutuwekea kachumbali zako

    ReplyDelete
  2. Nahamu nitume sema naogopa mijidomo ya watu hawatakosa lao.

    ReplyDelete
  3. Am loving yellow gown.she looks super delicious

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH