Mwanamitindo Jackie Patric week end iliyopita alifanyiwa bridal shower na shogaze .Kabla ya harusi yake anayotegemea kufunga,alikuwa na dadaz za jiji enjoy a small gallery
Gown limempendeza!
Gals na bi harusi mtarajiwa
white outfit always rocks
Sherehe bila keki hakunaga
Jokate
Huyu ndio bwana shemeji anaetegemea kumwoa Jackie.
walipendeza .mbona hukuweka picha za wadada wa mujini
ReplyDeletembona bwana mtarajiwa picha kama efterlyst...
ReplyDelete