hahahhahah yani watu waga hawakosekanagi kuharibu rangi .sijui waseme lugha gani ili waelewe mmm ila waliojali rangi walipendeza sana tujifunze wenzangu na mimi.
watu mnapenda maneno maneno sasa hapo mmeona picha ya hao wazungu tu ndio mnamsaka hivyo kiukweli si wamechanganya rangi sasa mara wivu mara mchawi yanini au wewe ulieandika nawe ulikuwa mingoni mwa hao wachanganya rangi ngggggggggggg mnaboa sasa badilisheni topic mnaacha wapa pole watanzania wenzetu wa zanzibar mnaleta udaku udaku tuu
kuwa straight kwenye last picture. fungua mabano
ReplyDeletehahahhahah yani watu waga hawakosekanagi kuharibu rangi .sijui waseme lugha gani ili waelewe mmm ila waliojali rangi walipendeza sana tujifunze wenzangu na mimi.
ReplyDeletekuwa straight kwenye last picture. fungua mabano.
ReplyDeleteMY DEAR MBONA PICHA INAJIONYESHA WAMEVAA MCHANGANYIKO AU STRAIGHT YA WAPI TENA?
upendo hiyo make yapo embu tupe wink yake
ReplyDeletejamani mbn last 4to wamejitaidi anagalau nyeupe ipo.. kuna waliova............
ReplyDeletemwanga ww rangi kitu gani wivu tu utasonyaaaaaaaa taratibu
ReplyDeletemwanga ww rangi kitu gani wivu tu utasonyaaaaaaaa taratibu
ReplyDeletetettete utajibebaje habari ndio hiyo take pill chill

ReplyDelete