Sep 18, 2011

SATURDAY NIGHT OUT IN STOCKHOLM

W-end hii niliamu kwenda outing baada ya mda mrefu ,nilihave fun na hubby safari yetu ilianzia cinema mana nilikuwa na hamu ya kuona movie ya Zoe saldana inatwa Colombiana ni mpya imetoka mwezi huu.

nje ya Cinema tukingoja kuingia

Colombia bila pop corn isingenoga kabisa

baada ya 1hr na 48mins movie ikaisha ilikuwa nzuri sana. Zoe kwenye hii movie amemfunika ata angelina Jolie kwa uigizaji,it was the best movie ever itafute nawe uenjoy.
Movie imekwisha ikabidi tuhamie kijiwe kingine

tulihamia club

entre

nilifurahi ili gown kunitosha nilinunua  lilikuwa halinienei kwa unene.

tulipoingia chakwanza counter

Tulijaaje Dj alikuwa wa ukweli
mumy b dancing dirty sexy

mapose sikwishi kushika nywele nilizipendaje.
mawazo yakaanza baby brandon sijui kesha lalah!
high heels zinakufanya sexy ila chamoto unakiona maumivu ya miguu lazima ukae chini upumue kwanza.
moi n hubby Alain
siku yetu ikaishia hapa tukaanza safari ya kurudi home nikalala masaa4 then nikamkia kazi kweli starehe gharama!
                                                                                                                                                                                                                                                                                       

21 comments:

  1. That's was huge dress jully

    ReplyDelete
  2. Ullipendeza sana apart from that mapozi yanajirudia .nywele nzuri kakusuka nani turushie namb ya msusi pls

    Pendo

    ReplyDelete
  3. Hiyo colombiana na mie niliona ninzuri sana yani ukilinganisha na ile wanted ya angelina hapa zoe upo juu kamvunika mbaya mrs britt

    ReplyDelete
  4. Sexy mama mie hizo kucha na rangi yake ukamatch na gauni ulipendezaje upo juuu
    uuu

    ReplyDelete
  5. Msema kweli

    Mie naona kawaida tu hakupendeza wala nini

    ReplyDelete
  6. yani ktk nguo zote unazo vaa nikakuona yani kidogo kidogo ni hii lkn bado sana bint ktk kuvaa yani sijui unaonyesha fashion ya nini ikiwa wewe mwenyewe kuvaa hujui jamani.

    ReplyDelete
  7. mamaloshie by kigamboni mji mdogo.tetettetettet naona ulipendeza mashalaa umepungua vizuri .kazi kweli kweli kweli na mumeo kapungua sana hongera zenu my sis salam kwa mama mchungaji na lazaro na wengine wte.miss u hahahhah tusasonyaje naona wengine wameshaanza kukunanga .du

    ReplyDelete
  8. ha ha ha wivu ungesema tu kawaida na sio hajapendeza, mie kwangu kapendeza ila hubby kavaa tofauti kbsaaaaaaaaaaaaaaaa na wife km hawapo pamoja

    ReplyDelete
  9. Tetete kila kiumbe kinafashion yake bana hii ndi yake jully hajakuomba uicopy na kupaste dada mbona utajibeba mwaka huu.

    ReplyDelete
  10. Hubby naona kapungua unene

    ReplyDelete
  11. Mamaloch sie wazima.jacky ajambo tumekumisije hahaha kunabinadamu wameubwa kukosoa watu ndio kazi iliyowaleta duniani kwa hiyo usijali wananipa go ahead mana na grab TENSION zao.mumy bulando pendecha balaaa

    ReplyDelete
  12. mpenzigauni lako designer ni nani? au ndio Mark jarcob tetet pendeza veve

    ReplyDelete
  13. ukitaka koment nyingi lazima ujichetue kwa blog yako duh!!!!!! cku zote watu hawakoment na wakido basi 2 au 3 leo mpk 12 duh kisa nini???????? wanaponda

    ReplyDelete
  14. fashionista....hahahahahahahahahahaha kaaaaazi kweli kweli.....

    ReplyDelete
  15. tettette walambishe walambishe washamba washamba hao wataishia kuguna tuuuuuuuuuu wamezoea H£M za kr 30 tea mpaka rea chezea wewe

    ReplyDelete
  16. kappa limetoka bubbery
    gauni- maschiano.
    kiatu-louboutin
    clutch-MK
    rangi ya kucha-OPI
    unyunyu-oscar de la renta
    nywele -ebony
    humo ndani ndo wala usitake kupaona-ni victoria secret latest collection.chezeaaaaa......mtasonya sana!!!!!

    ReplyDelete
  17. appa limetoka bubbery
    gauni- maschiano.
    kiatu-louboutin
    clutch-MK
    rangi ya kucha-OPI
    unyunyu-oscar de la renta
    nywele -ebony
    humo ndani ndo wala usitake kupaona-ni victoria secret latest collection.chezeaaaaa......mtasonya sana!!!!!

    Mmmmh kunawengine atamvae designers bado mnakuwa kichefu chefu kama ndio mmeshuka jana ubungo mana nywele kama walimu wa primary,na ivyo no makeup basi ni balaaa kaoooogeee tu mtuachie wengine hizi ndio fan zetu urembo kujifunzia ulaya wapi na wapi UTAISOMA KIMYA KIMYA UTANUNAJE

    ReplyDelete
  18. POINT OF CORRECTION SIO BUBBERY NI BURBBERY

    ReplyDelete
  19. acheni wivu wajinga nyie
    kwanza dada wa watu mzuri,ana jicho,shepu na mguu pili amependeza
    nyie ndo wale wabeba box,hamna cha kufanya kazi kushinda kwenye mablog na kukosoa wenzenu
    mumy losh sikujui hunijui ila wewe ni mzuri na umependeza

    ReplyDelete
  20. Asanten mdau hapo juu

    Mumy losh

    ReplyDelete
  21. Nyoooooooooko uvae Loubotin unauwezp gani malaya mchafu wewe??????????? Anaevaa Loubotin sweden hii tunamjua nahatumtji shenzi zakooo

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH