Feb 28, 2011

MONDAY SWAGG-

 Monday swagg .black n red .mie hako kamkanda tu kinoni jamani my favourites .





                                      



                     

7 comments:

  1. awesome,but much accessories mumy

    ReplyDelete
  2. hivi na wewe unajiweka katika wanawake wenye kujua kuvaa ? h aha ha ha cheko lako hilo shoga ! huko kwenu kurasini ndio wanavyovaa hivyo ? unakuwa kama sio mtoto wa dar , pole yako shoga !

    ReplyDelete
  3. OMG pendeza marie every thing on point baby,masharobaro achanao waisome namba nadhani wanaijua 2011

    ReplyDelete
  4. hahhahahha nadhani anajijua alivyo kishepu sura hadi mavazi kazi kwetu TULIOKATAAA TUTAKUFA NA KIJIBA CHAROHO .mmmmm umependeza napia nadhani unajijua we mzuri wivu umetujaaaa.tu wenghine

    ReplyDelete
  5. jaamani nani aliumba c mungu we unayeponda wenzako umba wakooo,min losh u luk guuud mwaaah,lizzy

    ReplyDelete
  6. na ndio mana hamuendelei m2 akipendeza mcfie jamani,majungu c mtaji wala mabomu yani mi nasema u luk sex banaaaaa.big up

    ReplyDelete
  7. na ndio mana hamuendelei m2 akipendeza mcfie jamani,majungu c mtaji wala mabomu yani mi nasema u luk sex banaaaaa.big up

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH