Jan 11, 2011

MUHIMU KUJUA

IBM STOCKHOLM, UJUMBE FROM FREEDY NICE USISAHAU KITAMBULISHO CHAKO,MANA HUTAWEZA INGIA BILA KITAMBULISHO,NI ID AU PASS PORT NA ID ZA ASSYLUM SYKER(LMA KORT) HAZITARUHUSIWA KUTOKANA NA UTAWALA WA CLUB.


                                                                             
                       

4 comments:

  1. asante sana kwa kutuwekea ujumbe toka kwa fred mana wengine tushazoea party za kiafrica hatubebi kitambulisho

    ReplyDelete
  2. kwani nani hajui club lazima abebe kitambulisho usituzingue kwanza fredy nice anakujua

    ReplyDelete
  3. hhahha huyu nani kwani anaeumia mamylosh kumjua fredy nice,mijitu mingine mishamba ,kwani fredy unamwona binadamu wa ajabu mpaka asimjue lolest tuondolee ujinga humu.asante kwa tangazo mumy

    ReplyDelete
  4. watu wengine bwana mkipewa ukweli mnaanza majungu sasa lipi bora mfike mjikute mnarudishwa na LMA KORT zenu au muwambiwe ukweli mkaazime id zinazoelewaka,idiot

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH