
Bisharusi mtarajiwa Eliza

lizy na husband to be kelvin siku ya kitchen party.

lizy na mama yake.walipendeza njano na black.

lizy akiyarudi yori yori no timeee.

Kelvin akaona ngoja nikusidie my wife

naona kulikuwa na sare 2tofauti hizi za orange na njano na black

shamimu na wenzake walimix hivo.

bwana harusi yeye alimix black n white.
raha ya sherehe kutunzwa shost akanukizwa pesa.
KILA LAKHERI ELIZABETH KWENYE HARUSI YAKO WATANZANIA TUPO PROUD OF YOU.
ELIZA kapendeza,na hata size ya mwili wake ni poa kuliko unakuta mtu anataka kuwa na kichen party au harusi ndio kanenepeana huyo hata nguo,hazimpendezi big up eliza.
ReplyDeleteEti watanzania tupo proud na wewe kuolewa mbn hambo lakawaida jamani yani mi leo nkimuoza bintiyangu watanzania watakuwa proud. Hapo hapana kwanza badili background
ReplyDeletewewe unaeona jambo la kuolewa ni kawaida mbona wewe hukuolewa umeishia dungaembe na kwanza nani kauita humu,eliza tupo proud nae utaki jibebe bibie huo wivu.
ReplyDeletejamani mamalosh blog yako nzuri sana na ndio kwanza ina miezi 2ila unajitahidi sana,mana news zipo up dated kila siku huyo anaekwambia ubadili background ni wivu na ajue mbuyu ulianza kama mchicha vile pumba zake mpotezee.kwanza kaitwa humu msonyoooo
ReplyDeleteyellow n black that fab..colour bwana shem kelvin luks stunning me luv him.....hongera elizabeth
ReplyDeletesiku mwisho nae akioa muwe proud ha ha ha ha zis is ril gudi
ReplyDeleteUMEPENDEZA SANA ELIZA.MIMI NI MTANZANIA MWENZAKO, NAKUPONGEZA. SHIKILIA IMANI YAKO, MUHESHIMU MUNGU, MPENDE MUMEO!
ReplyDelete