Maunda Zoro mwanamuziki .kwenye kili awards alivaa kagauni hako na watu wakimshanga.
lulu mwigizaji wa filamu,haki eleweki kavaa nini.
mwanamitindo fideline iranga ni mmh
wolper mwigizaji wa filamu,amevaa bring bring (mnyororo) na hilo gauni haviendani.
Salama jabir.jaji wa bongo star search,alipokuwa akijaji bss.nywele na nguo zimemtoa rough.

Amani sio mbongo ila niliona niweke mana yake kiboko kimini bila underwear na miguu kama unavyoiona
Joh makini joto la bongo akavaa jacket la baridi na yupo jukwani jijini Dar lol. na miwani ya jua usiku
amani mbona k... yote ipo waziiii kweli fashion disaster
ReplyDeletemaunda zoro kapendeza
ReplyDeletegrrrrrrrrrr huyo mtoto lulu sasa kavaiii nini,mana hakina sura wala kichwa hiko kivazi
ReplyDeleteamaninyenje nje lmao
ReplyDeletejoh kawaida yake hata sie wa dar twamshanga na hilo koti na hili joto inahuuu kuiga huku mtaja nuka
ReplyDeletemaunda zoro my doll luk cute
ReplyDeletelol maunda me luv ur tumbo no minyama uzembe
ReplyDeletefide kapendeza sema kanenepa nguo imembana sana
ReplyDeletelol fide kweli fashion disaster
ReplyDeletejike tume salama
ReplyDeletehuyo AMANI sasa no chupiiiiii,ila watu wanayaweza jamani ndio unakuta m2 ananukaaaaaa mmmmmmmmmmmhhhhhhhhh...
ReplyDelete