LEO NI SIKU YA UHURU WETU TANZANIA
D
ecember 9 ,kila mtanzania husherekea siku ya uhuru wake.ambapo tulipata uhuru mwaka 1961.bila kusahau mashujaa wetu Julius kambarage nyerere,Alexander Gwebe alietubebea mwenge wa uhuru kwenye kilele cha mlima kilimanjaro.
JULIUS KAMBARAGE NYERERE,LOVELY MEMORY OF TANZANIA
GO GO TANZANIA NO BLOOD AT ALL MPAKA BENDERA YAPENDEZA,
ReplyDeletejulius nyerere mwangaza wa tanzania may God bless u
ReplyDeleteTHANKS GOD MPAKA LEO NCHI YETU IPO SHWARI TUONGOZE MPAKA KIAMA KWA AMANI.
ReplyDeleteasnte mwenyezi mungu kulinda nchi yetu na watu wake pamoja.tunaipenda nchi yetu
ReplyDelete