Nov 23, 2010

JALUX BLOG INAWAKARIBISHA WADAU WOTE.

Hellow  wanablog karibuni ,jalux blog ya jamiii itakayo kuwa inazungumzia maswala ya fashion,habari
za ulimwengu ,na miziki mbalimbali ya africa,ulaya america na asia.na pia jalux blog itakuwa inazungumzia maisha kiujumla ya macelebrity na watu wa kawaida .mnakaribishwa sana jalux blog mjisikie huru nayo na kupost idear zenu na wenye kuomba ushauri mwakaribishwa.

6 comments:

  1. wapiiiii mmechemsha 000000000000000000000000

    ReplyDelete
  2. Hongera mumy kila lakher mafans tu umetupata ila tunahope utaimprove
    na blog.

    ReplyDelete
  3. Hongera mumy safi sn ,umejitaidi sn.natumaini itazidi kuwa nzuri.zidi kutupa news na mitindo mbalimbali.

    ReplyDelete
  4. bila shaka meems hapa utapata yote hayo wewe uwe unapita tu humu kila siku utapata kitu roho inapenda.

    ReplyDelete
  5. wapiiiii mmechemsha 000000000000000000000000

    hahaha uwo wivu yakwako iko wapi?
    msonyoooooooooooooooo

    ReplyDelete

FREEDOM OF SPEECH